GET /api/v0.1/hansard/entries/630359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 630359,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/630359/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ningependa kutoa tahadhari na kuwaomba wahusika wahakikishe kwamba mipango yote imetekelezwa vizuri ili huduma hii iweze kumfikia kila mmoja wetu kikamilifu bila ya kumsahau mwananchi wa kule mashinani ambaye hakutarajia kuipata huduma hii. Zaidi, ningependa wananchi waelimishwe jinsi ya kutumia umeme kwa sababu tunajua kwamba umeme ni hatari. Kuna watu ambao hawajawahi kutumia umeme. Serikali inastahili kuwaelimisha watu hao kuhusu uzuri na madhara yanayotokana na umeme."
}