GET /api/v0.1/hansard/entries/631205/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 631205,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/631205/?format=api",
    "text_counter": 762,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Millie Odhiambo kwa Mswada huu ambao umeweka alama katika nchi yetu ya Kenya katika kuwasaidia wale ambao hawawezi kupata watoto kwa njia ya kawaida. Mswada huu pia utaleta suluhu kwa wale ambao wanapata watoto kupitia kwa kina mama ambao wanawasaidia ili mtoto akizaliwa uwe unaweza kumpokea mtoto huyo kama mtoto wako siku ya kwanza bila kwenda kortini kupata stakabadhi ambazo ziko kamili. Sheria hii itawasaidia wananchi wengi wa Kenya."
}