GET /api/v0.1/hansard/entries/631265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 631265,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/631265/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Yaani kiongozi wa wachache ambaye hakunitambua nikiwa Malindi. Ninamhakikishia kwamba nilileta kura 3,000 kutoka kwa muungano wa CORD na kujiunga na muungano wa Jubilee. Kwa hivyo, wanachama wa CORD wanafaa kujua kwamba huko si kwao tena. Ninawapongeza kwa kunishinda kwanza. Lakini, wajue kwamba tunakula kwa sahani moja. Wametushinda leo, kesho tutawashinda. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes"
}