GET /api/v0.1/hansard/entries/631310/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 631310,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/631310/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Bw. Speaker, ningependa kukaribisha Kamati ya Energy iliyotoka Kaunti ya Kilifi. Kama unavyojua, Kaunti ya Kilifi ndiko kuna mji wa Malindi. Sina haja ya kusema sana lakini unajua jinsi mambo ya Malindi yalivyokuwa. Kwa hivyo, nina furaha sana kuwakaribisha hapa. Ningependa kuwaambia watakaporudi huko, waendelee kama walivyofanya."
}