GET /api/v0.1/hansard/entries/631316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 631316,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/631316/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "zaidi ni kuwashukuru na kuwapongeza kwa kusimama upande wa Wakenya walio wengi na wanaopenda haki na ukweli. Ninawashukuru pia kwa kuwaaibisha wale walioenda Kaunti ya Kilifi huku wamebeba mifuko ya pesa za wananchi na kujaribu kuvuruga demokrasia katika nchi yetu. Hongera, Wanakilifi."
}