GET /api/v0.1/hansard/entries/631320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 631320,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/631320/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bw. Spika, langu nikupongeza ndugu na jirani zangu wa Kaunti ya Kilifi. Ninawakaribisha hapa na ninawapongeza kwa kufanya uchaguzi wa maana wa kuunga Serikali mkono na kuchagua kiongozi mliyependa. Ninafikiri mlichagua kiongozi mliyependa. Hata hivyo, kuvurugana sio tabia yetu watu wa Kaunti ya Kilifi au watu wa Pwani. Kwa hivyo, mmechagua Serikali na pia yule tuliyependa. Kilichobaki ni kwamba ninawakaribisha kwa Serikali, muunge Serikali mkono mkirudi nyumbani."
}