GET /api/v0.1/hansard/entries/633619/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 633619,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/633619/?format=api",
    "text_counter": 17,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bi Spika wa Muda kwa nafasi hii. Nashukuru kwa wafanyakazi wa Bunge la Kaunti ya Kilifi kufika hapa ili kujifundisha jinsi kazi inavyo endelea katika Bunge hili la Seneti. Bunge letu la Kaunti liko Malindi. Ningependa kuwashukuru watu wa Malindi kwa ushujaa wao waliouonyesha wakati wa uchaguzi mdogo wa juzi. Walionyesha msimamo wao na kwamba hawatakubali kununuliwa kwa pesa. Mwisho, wafanyakazi hawa wataendelea kujifunza ili wakirudi nyumbani waendeleze shughuli za serikali zetu za ugatuzi."
}