GET /api/v0.1/hansard/entries/633622/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 633622,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/633622/?format=api",
    "text_counter": 20,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda. Kwanza, nawapongeza maafisa wote kutoka kaunti za Nyamira, Kilifi na Vihiga kwa kutembelea Seneti. Ninauhakika watajifunza mengi kutoka kwetu na maofisa wetu. Seneti ni Bunge la viongozi wa wingi wa busara na wakuheshimika sana. Wao hujadili mambo kwa makini sana. Upeo wao ni wa mbali na mpana sana. Ninawapongeza wakaaji wa Malindi. Imedhihirika kuwa wao si watu wa kununuliwa kwa Kshs1,000 na zaidi na hawawezi kamwe kutishwa na mabundiki; hata tukipokonywa bunduki na walinzi wetu wa kibinafsi."
}