GET /api/v0.1/hansard/entries/634121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 634121,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/634121/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Uhuru, wananchi wa sehemu hii sasa watafurahia kuwa na umeme. Huduma hiyo imepelekwa kule na Serikali ya Jubilee kupitia shirika la Rural Electrification Authority. Hivi karibuni, tutapeana huduma hii kwa wananchi na KP watachukua usukani. Hili ni jambo ambalo Serikali ya Jubilee imeweza kulipea kipaumbele. Hakuna lolote linaloweza kufanyika katika nchi hii ikiwa kutakuwa na matatizo ya stima. Maendeleo mengi yanayofanyika katika nchi yetu na kwote ulimwenguni yanatokana na kuwepo kwa stima. Iwapo tutafanya hivyo, basi, ninaamini kwamba tutaweza kuendelea sana."
}