GET /api/v0.1/hansard/entries/634122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 634122,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/634122/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Vilevile, kuna kampuni ya Amu Power, ambayo iko Lamu ambayo hivi karibuni itaanza kutumia mtambo unaotumia makaa ya mawe kuzalisha umeme. Amu Power ni kampuni imeenda Lamu kuwekeza katika sekta ya umeme. Naamini kwamba kampuni hii itakapoanza kutoa huduma, vijana wengi watapata kazi na gharama ya umeme katika eneo la Lamu itapungua."
}