GET /api/v0.1/hansard/entries/635299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635299/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika wa Muda kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja iliyoko mbele yetu. Kwanza kabisa, natoa shukrani za dhati kwa Kiongozi wa Wengi katika Seneti na vile vile Kiongozi wa Wachache katika Seneti kushirikiana pamoja kuunda hii Kamati ambayo ni umuhimu sana. Viongozi wengine kama magavana wamepewa madaraka makubwa. Wametoka katika mipaka ya kuangalia haki na usawa katika kaunti zote za Kenya. Nasema hivyo kwa sababu nikiziangitia Kaunti ya Lamu, shida nyingi zilizoko kwa sasa zinasababishwa na Gavana wetu kwa sababu zamani, ardhi ya Kaunti yetu ilikuwa ya Serikali. Miradi mikubwa mikubwa iliyofanywa na serikali zilizopita ilikuwa halali. Hivi sasa, Gavana wetu anawachochea watu kuingia kwenye mashamba usiku The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}