GET /api/v0.1/hansard/entries/635301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635301,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635301/?format=api",
    "text_counter": 296,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kisha wadai kuwa wao ni maskwota ili wafidiwe. Hiyo inazorotesha mipangilio mikubwa mikubwa ya Serikali kama vile the Lamu Port Southern Sudan-Ethiopia Transport(LAPSSET) Corridor na uchimbaji wa makaa ya mawe kule Lamu. Baada ya wiki moja, alituma County Land Board (CLB) kuhalisha wale wahamia kwenye mashamba hayo wiki moja au mbili kuwa hao ndio maskwota waliohalishwa na lazima walipwe pesa za kutosha. Hivyo ni kuzorotesha mipangilio ya Serikali. Kitu kingine zaidi ya hiyo ni kwamba Gavana anafanya kazi peke yake bila kushauri watu wote."
}