GET /api/v0.1/hansard/entries/635304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 635304,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635304/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Hata mimi ninaweza kuja hapa na kukuambia kuwa hiki na kile kinafanyika kule Mombasa na gavana anafanya hivi na vile halafu niseme kuwa kwa vile mimi natoka Mombasa na nayajua zaidi kukuliko, hakuna haja kufafanua zaidi. Hizi shutuma kuhusu gavana, zitawekwa kwenye kumbukumbu tunazoita the HANSARD. Huenda zikatumiwa na mtafiti kusema kuwa hili jambo liliongelewa katika Seneti na likathibitishwa. Kwa hivyo, kuna dharura kwa sisi kuthibitisha hizo shutuma ama ziondolewe mbali."
}