GET /api/v0.1/hansard/entries/635305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635305,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635305/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Namshukuru tena. Nataka kumjulisha kwamba kuna mahali panaitwa Manda Settlement Scheme iliyoundwa na serikali zilizopita; kuanzia serikali za marais wastaafu Daniel Arap Moi na Mwai Kibaki. Walipeana hekari kumi kumi na ishirini ishirini kwa watu wengine. Hivi sasa, Gavana wetu amekuwa akibadilisha hiyo na kuanza kuwapa watu robo hekari. Hiyo itachochea watu kupigana. Vile vile, jambo jingine linalofanyika ni kuwa kuna settlement---"
}