GET /api/v0.1/hansard/entries/635307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 635307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635307/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, thibitisho ni yale ambayo ninasema kwa sababu mimi ni Seneta wa Lamu. Ninajua zaidi yale yanayofanyika Lamu kushinda Sen. Hassan wa Mombasa. Sitaki niingile mambo mengi sana lakini nakuhakikishia kuwa imeshawahi kufanyika mara moja. Mabilioni ya pesa imelipwa na Serikali asubuhi na kupotea jioni."
}