GET /api/v0.1/hansard/entries/635318/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635318,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635318/?format=api",
    "text_counter": 313,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "wameuliza sehemu ya kujenga kambi yao ili kulinda watu wetu na kudumisha amani katika nchi yetu. Kila mtu anataka amani lakini imepotea siku hizi. Jambo la kushangaza ni kwamba Gavana wetu ameandika barua kukataa ombi hilo kutoka kwa KDF . Nitaleta huo uthibitisho ambao pia umezungumziwa na taifa nzima. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}