GET /api/v0.1/hansard/entries/635533/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 635533,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635533/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. William Baraka Mtengo",
"speaker_title": "The Member for Malindi",
"speaker": {
"id": 13164,
"legal_name": "Willy Mtengo",
"slug": "willy-mtengo"
},
"content": " Mhe. Spika, ningetaka vile vile kuwashukuru wenzangu, Wabunge wote wa pande zote mbili za Bunge hili tukufu, kwa mapokezi niliyopata. Kwa muda ule mchache niliokaa hapa, wengi wamenipokea vyema na wamenionyesha njia hapa na pale. Nina imani kabisa kwamba tutaendelea kushirikiana kwa minajili ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Kenya. Hiyo ndiyo sababu msingi tuko ndani ya Bunge hili."
}