GET /api/v0.1/hansard/entries/635538/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635538,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635538/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Willam Baraka Mtengo",
    "speaker_title": "The Member for Malindi",
    "speaker": {
        "id": 13164,
        "legal_name": "Willy Mtengo",
        "slug": "willy-mtengo"
    },
    "content": " Sikumuona akitafuna Tambuu huko Malindi. Nataka kumshukuru Mhe. Wamalwa na Waheshimiwa wengine wengi wa Bunge hili la Kitaifa na wajumbe wa serikali zetu za ugatuzi waliotoka sehemu tofauti za Kenya kuhakikisha wamekuja kusaidiana na sisi ili kupata ushindi. Langu ni kuhakikishia watu wa Malindi na Wakenya kwa jumla kwamba tutasimama kidete. Enzi za watu kutishwatishwa kwa misingi ya kisiasa imepitwa na wakati. Sisi wa mlengo huu hatutatishwa kamwe na hatutayumba. Yetu ni kuchapa kazi tulete maendeleo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}