GET /api/v0.1/hansard/entries/635544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 635544,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635544/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Willam Baraka Mtengo",
"speaker_title": "The Member for Malindi",
"speaker": {
"id": 13164,
"legal_name": "Willy Mtengo",
"slug": "willy-mtengo"
},
"content": "Mhe. Spika, natoa kongole kwa ofisi nyingine mbali na ofisi yako. Hapa Bunge wamenipokea vizuri. Nimefanyiwa mapokezi mazuri na bado naendelea kama Waheshimiwa wengine. Nashukuru. Nashukuru Wakenya na kuwaomba watusaidie. Kwa ule muda nimekaa hapa, nimeona kazi ya kutunga sheria ni ngumu. Nawaambia wenzangu wa upande ule mwingine kwamba ni sharti tushirikiane kwa sababu tuko hapa kuwapa Wakenya huduma. Nataka kuingia mlengo wa historia njema. Tuwape Wakenya huduma ili tuwe na sura ya kuangalia wananchi wetu tutakaporudi mashinani kuomba nyadhifa za uongozi."
}