GET /api/v0.1/hansard/entries/635548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635548,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635548/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Willam Baraka Mtengo",
    "speaker_title": "The Member for Malindi",
    "speaker": {
        "id": 13164,
        "legal_name": "Willy Mtengo",
        "slug": "willy-mtengo"
    },
    "content": " Mhe. Spika, nataka niwaambie wale wachache walio wanafiki waliofikiria vibaya na waliokuwa wakisambaza porojo za kusema Malindi ni yao: “Ng’ooo!” Malindi ina wenyewe na watu wa Malindi waliongea. Tunawangoja. Hata mkaja leo, bado tutawanyoa. Wembe ni ule ule wa kutu. Msimamo ni ule ule. Nawashukuru Wakenya wote. Nachukua fursa hii kuwaambia wenzetu ambao kidogo wameanza kuteleza kwamba tunawakaribisha nyumbani. Tuweke siasa kando. Tulete maendeleo kwa watu wetu wa Malindi. Mwenyezi Mungu atulinde. Mwenyezi Mungu atubariki. Ahsante, Mhe. Spika. Mtengo aliwatenga kule Malindi. Ahsanteni."
}