GET /api/v0.1/hansard/entries/637408/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 637408,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/637408/?format=api",
    "text_counter": 711,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda, ninayapinga vikali mabadiliko yanayoletwa kwenye sheria hii. Waziri wa Afya na Waziri wa Ardhi wanapewa nguvu ambazo haziko katika Katiba. Ibara ya 67(2) (a) ya Katiba inaeleza kazi ya National Land Commission (NLC). Inasema kuwa NLC inatakikana kusimamia ardhi za umma kwa niaba ya Serikali ya kitaifa na serikali za kaunti."
}