GET /api/v0.1/hansard/entries/637409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 637409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/637409/?format=api",
"text_counter": 712,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": "Pia, Ibara ya 67(2)(c) ya Katiba inasema kwamba NLC inatakikana kuishauri Serikali ya kitaifa kuhusu masuala ya kuandikisha ardhi. Kwa hivyo, mabadiliko yanayoletwa kwenye sheria hii yanampatia Waziri wa Ardhi nguvu ambazo haziko kwenye Katiba ya nchi yetu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}