GET /api/v0.1/hansard/entries/63788/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 63788,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/63788/?format=api",
"text_counter": 407,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Jambo la nidhamu Bw. Spika. Wakereketwa waliotajwa wa mihadarati hapa Bungeni ni Wabunge wanne ambao wamekuwa wakichunguzwa. Waziri amekariri vizuri na akasema kwamba uchunguzi umefanywa na ukaonyesha kwamba hawana hatia. Anazingatia kuzungumzia watatu, lakini hajatueleza kwa undani uchunguzi uliofanywa kwa mheshimiwa wa Makadara, Bw. Gideon Mbuvi, ama kwa jina la utani â Sonko â; kama yeye hana makosa ama hahusiki katika mihadarati. Ningependa Waziri afafanue zaidi."
}