GET /api/v0.1/hansard/entries/638089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 638089,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/638089/?format=api",
"text_counter": 586,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Kongole Mheshimiwa Mwaura. Zamani zile za kuwaficha na kudhulumu walemavu; zamani zile za kuamini walemavu ni laana, zilipita. Hivi sasa, lazima tuje na mikakati mipya, kama hii ilioletwa na Mheshimiwa Mwaura. Katika Mwada huu, tuwe na sera na sheria zitakazowalinda walemavu na kuwawezesha kupata elimu au kuingia kwa nyumba za ghorofa bila matatizo yoyote. Naunga mkono Mheshimiwa Mwaura."
}