GET /api/v0.1/hansard/entries/638090/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 638090,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/638090/?format=api",
"text_counter": 587,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Shukrani Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Mswada huu. Ukiangalia hiki kikundi cha watu, ni kama asilimia 15. Ni kama watu zaidi ya milioni sita. Ni kikundi ambacho kimepuuzwa - si kwa mahospitali, benki, shule na makanisa. Naomba Kamati Tekelezi, baada ya huu Msada kuwa sheria, watekeleze. Wahakikishe kuwa imetekelezwa na hicho kikundi cha walemavu, angalau, kimesaidika ili wajione wako sawa na Wakenya wote kwa ujumla. Nasimama kuunga huu Msada. Ahsante sana."
}