GET /api/v0.1/hansard/entries/638152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 638152,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/638152/?format=api",
"text_counter": 649,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wekesa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2742,
"legal_name": "David Wafula Wekesa",
"slug": "david-wafula-wekesa"
},
"content": "Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Pongezi kwa Mheshimiwa Chris. Ijapokuwa naunga mkono Hoja hii, lazima tuwe waangalifu sana. Tayari katika Saboti, sehemu ambayo naiwakilisha Bungeni, kuna tetezi kwamba kuna watu ambao wanaleta watu kutoka Uganda wakiwa na nia ya kuwapa mashamba wakisingizia ni wakimbizi. Kwa hivyo, ni lazima tuhakikishe kuwa maafisa wetu wanafaa. Isiwe tu ni maafisa ambao wanakimbilia pesa. Naunga mkono Hoja hii."
}