GET /api/v0.1/hansard/entries/638739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 638739,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/638739/?format=api",
"text_counter": 574,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "hasua mbalimbali. Kwa hivyo, ndugu yangu ameshikwa na hamasa kwa sababu ya kunyanyaswa. Tuna hakika kwamba Mswada huu umezigatia ya kwamba tutapewa nafasi ya kujitawala katika mambo ya samaki na uongozi katika mashirika ambayo yako katika maeneo ya Pwani. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}