GET /api/v0.1/hansard/entries/639675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 639675,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/639675/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Ndiema",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1067,
"legal_name": "Henry Tiole Ndiema",
"slug": "henry-tiole-ndiema"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu wa Spika. Yangu ni kuhusu pesa zinazolipwa wazee na Serikali yetu. Mwenyekiti wa kamati hii angetilia maanani jambo hili ili kuhakikisha wazee wote waliohitimu umri unaohitajika wapate marupurupu hayo. Sisi sote tukienda katika kaunti zetu tunakumbana na swala hili. Tunajua ni wazee wachache wanaopata marupurupu hayo na wengine wengi hawapati. Kwa hivyo, tunataka majibu kuhusu jambo hili."
}