GET /api/v0.1/hansard/entries/640034/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 640034,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640034/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "za damu. Tunafaa kufanya uchunguzi wa magonjwa haya kwa sababu labda yanatokana na vyakula ambavyo tunavila. Mwanzoni, hakukuwa na magonjwa kama haya. Lakini wakati huu, hata mtoto mdogo wa miaka sita, 10 na hata 15 anaweza kupatikana na ugonjwa wa moyo. Serikali inafaa kuchunguza magonjwa hao yanatokana na nini. Sisi ni wafugaji na siku hizi, tunaambiwa kule mahospitalini kuwa kuna magonjwa ya nyama na maziwa. Watu wamekuwa wakinywa maziwa kutoka zamani. Kwa hivyo, tuunge mkono Hoja hii ya saratani ili watu waanze kupimwa na kujua hali yao mapema. Zahanati pia zijengwe katika kila mahali ili watu wahudumiwe. Pia, naunga mkono masomo ya wataalamu wa saratani. Hii sheria ipitishwe kwa sababu ugonjwa huo umetatiza watu wengi sana."
}