GET /api/v0.1/hansard/entries/640039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 640039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640039/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Namuunga mkono Bi. Wanga kwa kuleta Hoja hii hapa Bungeni. Watu wengi sana wanahangaika kule mashinani. Nikimalizia, ningependa kusema ya kwamba ugonjwa huo ni mbaya sana na kila mtu anauogopa. Nimemsikia Mheshimiwa akisema watu wengi wanaogopa kwenda kupimwa. Ndani ya Bunge hili, tuko Wabunge wengi. Hatuwezi kukosa wawili ama watatu ambao wako na ugonjwa huo. Hata mimi naweza kuwa nao. Lakini naogopa kwenda kupimwa na nipatikane na saratani kama ile ya mama yangu halafu nife."
}