GET /api/v0.1/hansard/entries/640078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 640078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640078/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, pia mambo ya ubakaji na kunajisi watoto wadogo pia inasababisha saratani ya kizazi. Hivyo basi, swala hili pia lazima tuliangalie sisi kama viongozi ili tulitatue. Maradhi ya saratani lazima yachukuliwe kama ya Ukimwi. Hayo maradhi yamekuwa ni janga na Serikali imeweza kuweka bajeti ya kitaifa kushughulikia watu ambao wana matatizo ya Ukimwi. Hivyo basi, wanaweza kupata madawa bure na wauguzi ambao---"
}