GET /api/v0.1/hansard/entries/640082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 640082,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640082/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii kuchangia mjadala huu ambao umeletwa na dadangu, Mhe. Gladys Wanga. Hoja hii imekuja wakati mzuri sana kwa sababu katika eneo langu la Trans Nzoia, watu wanaumia kwa ajili ya ugonjwa wa saratani. Wiki mbili zilizopita, nilimpoteza mtoto Purity. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}