GET /api/v0.1/hansard/entries/640274/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 640274,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640274/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Hapa ninavyoona ni kwamba swali lililoulizwa ni linguine, mbali na lile linalojibiwa. Ameulizwa juu ya “acute food shortage” na anatuambia kwamba kuna chakula kimepatikana “kuna nini, lele mama, hehe, hoho wala hasemi ukweli. Je, kuna upungufu wa chakula au la? Jambo la pili ambalo ameulizwa kama wanafunzi hawaendi shuleni kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Jibu ambalo amesema ni kwamba hana habari hiyo. Sen. (Prof.) Lonyangapuo na Sen. Munyes wamesema hayo mambo. Je, nani muongo?"
}