GET /api/v0.1/hansard/entries/64030/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 64030,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64030/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mungatana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 185,
"legal_name": "Danson Buya Mungatana",
"slug": "danson-mungatana"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Hivi punde, kumeulizwa swali na Waziri Msaidizi akaeleza vizuri kwamba kuna tofauti kati ya centres of excellence, shule za kitaifa na shule za mkoa. Je, ni haki Waziri Msaidizi kujaribu kuwapotosha watu kwa kuzungumzia centres of excellence badala ya kuzungumzia shule za kitaifa na zile za mkoa?"
}