GET /api/v0.1/hansard/entries/641762/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 641762,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/641762/?format=api",
    "text_counter": 228,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "nguvu ambazo Katiba imepeana kwa kaunti kuhimili ardhi na kurejesha kwa Serikali kuu. Shida za ardhi zitaendelea na iwapo mtu kutoka Kwale ana shida ya ardhi, apande gari na aje Nairobi agharamie safari na makaazi na kwenda kutafuta hati miliki kwa watu ambao hawaelewi masuala ya ardhi kule kwao. Tumerudi katika zile dhiki kwa hivyo, sheria hii ni adui kwa ugatuzi kwa sababu kaunti zimepewa nafasi kushirikiana na masuala ya ardhi lakini sheria hii inaondoa."
}