GET /api/v0.1/hansard/entries/641834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 641834,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/641834/?format=api",
"text_counter": 300,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naomba nami nitoe mchango wangu kidogo kuhusu sheria hii. Hizi sheria vile zilivyo, hakuna mtu yoyote anayeweza kuziunga mkono. Mimi kama mwanakamati, naziunga mkono kwa sababu nazijua na nazielewa. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo tumekubaliana kama wanakamati kuyaleta hapa, ili turekebishe pale ambapo tunaona kuna upungufu. Kama si hivyo, zingekuwa na utata na hazingeridhi"
}