GET /api/v0.1/hansard/entries/641836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 641836,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/641836/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "s",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa sababu najua kuna marekebisho kadhaa ambayo yatakuja na tutayazungumzia hapa na kukubaliana nayo, naunga mkono haya mapendekezo. Swala la ardhi ni nyeti na linaguza kila mmoja aliye hapa. Hata wengine wakisema ni maskwota, wengine wamenunua mashamba na bado wanachukuliwa kama maskwota. Hiyo ni kwa sababu hili swala halijapatiwa uzito vile linavyostahili."
}