GET /api/v0.1/hansard/entries/642020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 642020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642020/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Pia ninataka kumshukuru Mhe. Wanyonyi kwa kuileta Hoja hii Bungeni. Kupiga kura ni haki ya kila Mkenya. Kila mtu anastahili kupata nafasi ya kutosha ya kupiga kura vile anavyotaka. Kulingana na sheria ni sawasawa kabisa kwamba kila anayetaka kupiga kura apate stakabadhi maalum. Kama stakabadhi ile ambayo mtu hupewa kwa mara ya kwanza ina nambari zote ambazo zitaonekana katika kitambulisho, sioni sababu yoyote ya mtu kukatazwa kupiga kura wala kutumia stakabadhi hiyo katika benki. Hali hii huleta dhuluma. Juzi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}