GET /api/v0.1/hansard/entries/642038/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 642038,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642038/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, muda wangu unamalizwa bure na watu ambao wana njama fulani. Nakuomba uniongezee dakika kadha kwa sababu muda wangu umepotezwa na watu ambao wameleta hoja zisizo na msingi. Ninaunga mkono kikamilifu kwamba stakabadhi ambazo zinatolewa zitumike kikamilifu kwa kila jambo ambalo mtu anahitaji---"
}