GET /api/v0.1/hansard/entries/642241/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 642241,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642241/?format=api",
    "text_counter": 33,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Asante Mhe. Spika. Nimekuwa nje kwa muda kidogo kwa sababu ya shughuli. Ninataka kumwambia Mhe. Jakoyo kwamba tusiingize mambo ya siasa ya ugavana katika CDF. Sisi tumekuwa tukifanya kazi ya kutengeneza hiyo sheria na tunajua kwamba hatujalala. Tutaendelea kushikana vile umesema. Tafadhali, hiki ni kitu ambacho kinagusa kila mtu, hata mimi na Mwenyekiti. Kwa hivyo, tutaungana ndio tuweze kusaidia Wabunge waheshimiwa. Asante sana."
}