GET /api/v0.1/hansard/entries/642678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 642678,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642678/?format=api",
"text_counter": 470,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Asante, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Yangu ni machache sana ambayo ni kusema ya kwamba afya ya binadamu ni ya maana sana duniani. Serikali yetu ambayo inaongozwa na Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta na Mhe. Ruto imefanya kazi nzuri kwa Wakenya. Wamefanya kazi ya kutoa pesa katika Serikali Kuu na kupeleka mashinani. Ikipelekwa pale mashinani unakuta wengine hawana heshima na hawana mipango yoyote kwa hizo pesa. Zikifika kwao, zinaingia mifukoni ya mabibi."
}