GET /api/v0.1/hansard/entries/642680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 642680,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642680/?format=api",
    "text_counter": 472,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, wakati tunaongea mambo haya, ni lazima tukumbuke nyumbani kwa sababu ndio imetuleta hapa. Kama sio wale watu wa Meru ama watu wa Tigania Mashariki ambao walinipigia kura, singeweza kuja katika Bunge hili. Wakati ninaongea, akili yangu hainionyeshi Kenya nzima, bali inanionyesha Watigania na jamii ya Wameru. Ndivyo ninasema Wakenya wajue ya kwamba pesa zote ambazo zinaenda kwa afya, zinapitia katika Bunge letu ambapo Mhe. Kajuju yuko na wewe ukiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda. Sikumaanisha ya kwamba ni gavana analeta pesa. Tunazipitisha zinapelekwa Kericho, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}