GET /api/v0.1/hansard/entries/643353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 643353,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/643353/?format=api",
"text_counter": 1145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "mabadiliko katika Kenya yetu, tunapaswa kuangalia matakwa ya Wakenya katika Katiba yetu na tujue yalizungumzia nini. Matakwa ya Wakenya yamezungumziwa katika aya tofauti za Katiba yetu. Katiba inasisitiza kwamba suala la ardhi liachwe katika mikono ya tume huru lakini Mswada wote umebadilishwa na kila mahali penye tume huru pamewekwa Waziri wa Ardhi. Kwa takriban miaka 53, Waziri wa Ardhi aliachiwa suala la kutatua matatizo ya ardhi. Wakenya wamepata dhiki na madhila. Sasa hivi mambo ya kugawanya ardhi au kwa Kiingereza"
}