GET /api/v0.1/hansard/entries/64346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 64346,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64346/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 147,
"legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
"slug": "ferdinand-waititu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, niko na thibitisho kwamba tumetuma pesa katika sehemu hizi. Niko na nakala ya Authority to Incur Expenditure (AIE) kuonyesha kwamba tarehe 21 mwezi uliopita, tulituma shilingi milioni tano katika Samburu East na shilingi milioni mbili na nusu katika Samburu North. Pia, tulituma milioni mbili na nusu katika Samburu Central tarehe 20 mwezi uliyopita. Niko na nakala hizi kuthibitisha kwamba hizi pesa zimetumwa kule ili waweze kuzitumia."
}