GET /api/v0.1/hansard/entries/643545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 643545,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/643545/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii nami pia kuunga mkono Mswada huu wa kuweza kuongeza muda wa kukagua mahakimu na majaji kwenye tume ambayo inatakikana kufanya hiyo kazi. Tume hii ilipatiwa kazi kufuatia sheria na Katiba mpya ya nchi yetu ya Kenya. Walivyopatiwa kazi, hawakujua mwanzo kuwa kazi hiyo ilikuwa ni nyingi kadri ambavyo ingechukua muda mrefu. Lakini nataka kusema kuanzia hapo awali kuwa kazi waliofanya, walijaribu kadri ya uwezo wao."
}