GET /api/v0.1/hansard/entries/643546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 643546,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/643546/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Tume hiyo imepata matatizo kadha wa kadha. Hata mahakama yenyewe pia iliwatatiza tangu pale mwanzo. Ilichukua muda kuweza kuendeleza kazi yake kwa njia ambayo ilikuwa inatakikana kwa urahisi na kwa wepesi. Hivyo basi, wakati wa kukagua mahakimu na majaji, waliweza kufanya kazi nyingi zaidi. Walichukua muda mrefu kwa kila jaji kwa sababu mambo yalikuwa bado hayajashika kasi."
}