GET /api/v0.1/hansard/entries/64357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 64357,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64357/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Letimalo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 68,
        "legal_name": "Raphael Lakalei Letimalo",
        "slug": "raphael-letimalo"
    },
    "content": "Kwa Hoja ya Nidhamu, Bw. Naibu Spika. Hizo AIEs tumepata katika Samburu County. Ukweli ni kuwa visima vyote vimekauka na mabawa yamekauka. Tegemeo la watu kupata maji huko ni zile tanks ambazo zililetwa mwaka uliopita. Je, ni haki kwa Waziri Msaidizi kusema kuwa hili jambo limetatuliwa kwa sababu tumepata pesa? Hizi pesa zitatumika namna gani ikiwa hakuna lori za kusambaza maji?"
}