GET /api/v0.1/hansard/entries/64363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 64363,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64363/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Pili, alisema kwamba magari yatakombolewa. Je, angependa kusema kwamba wamepeleka huko âkartasiâ hiyo kama idhini kwa maafisa wao kukomboa magari? Wasipopewa idhini, maafisa kwenye kaunti hawawezi kukomboa magari. Waziri Msaidizi angethibitisha kwamba wamekubali kukomboa magari, na kwamba pesa zimefika Maralal ili tuelewe. Kusema AIE imetumwa hakusaidii."
}