GET /api/v0.1/hansard/entries/64365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 64365,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64365/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu wa Spika. Waziri Msaidizi amesema kwamba malori yametumwa. Mwaka uliopita, lori la AP lilitumwa huko, na hivi sasa halina magurudumu. Lori hilo limeegezwa juu ya mawe. Kwa hivyo, ni afadhali azungumzie kile kitu ambacho kiko."
}