GET /api/v0.1/hansard/entries/644389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 644389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644389/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nachukua nafasi hii pia kumpongeza Naibu wa Rais kwa kusimama kidete wakati alikuwa akipitia shida wakati wa kesi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu. Alisimama kama kiongozi na kutuongoza. Hakuna hata siku moja alionyesha kwamba ana shida ilhali kesi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ilikuwa shida kubwa sana. Nampongeza kwa kusimama wakati huo, kuongoza na kuwahudumia Wakenya. Hiyo inamaanisha kuwa Rais wetu na Naibu wake ni viongozi wa ajabu. Sisi tunajivunia wao kuwa viongozi wetu na chama chetu cha Jubilee. Heko na maisha marefu kwa Rais wetu wa Kenya, Naibu wake na muungano wa Jubilee. Tuko nyuma yao na tuko tayari kwenda mbele pamoja. Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}